CHIDYPRIME x CHIDYGAMING SUPPORT HQ
🟢 Tuko Hewani Masaa 24/7
Kituo cha Msaada & Huduma kwa Wateja
Karibu kwenye dawati kuu la msaada la Chidy Prime & Chidy Gaming TZ. Ikiwa umepata changamoto yoyote wakati wa ununuzi, malipo ya simu, au upakuaji wa files na mods, chagua kitengo unachohitaji hapa chini tukusaidie mara moja.
Majibu ya Haraka Ndani ya Dakika 1-5100% Guaranteed Digital Delivery
MSAADA WA ODA
⚠️ Nimelipa Sijapata Game
Ikiwa umekamilisha muamala wa simu na link ya kupakua au kuweka haijafunguka mara moja, bonyeza hapa chini tukuhudumie papo hapo.
MSAADA WA MALIPO
💳 Nimeshindwa Kulipia Game
Unapata changamoto ya kukataliwa muamala, namba ya siri (STK Push) haitokei, au unahitaji kulipa kwa njia mbadala? Wasiliana nasi haraka.
⚡ Msaada wa Malipo WhatsApp
Tunapokea M-Pesa, TigoPesa, Airtel Money & Halopesa
🚨 Mawasiliano ya Haraka ya Dharura (SMS & Call)
Ikiwa hauna internet au unahitaji usaidizi wa sauti wa papo hapo: